Habari za jioni 21 Januari, 2025
- Goma: Hali kwenye uwanja wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na M23 pa Minova na Sake
- Goma: Hali ya kibinadamu huko Bweremana kutokakana na uvamizi wa M23
- Bukavu: Watu wawili wafariki Kavumu baada ya mapigano kati ya wanajeshi wa Kongo na uasi wa M23
- Beni: Kijiji cha Mamove kinapata nafuu taratibu baada ya mfulilizo wa mashambulizi ya waasi wa ADF\
- Kinshasa: Waziri wa Sheria atangaza uuzaji wa mali ya Corneille Nanga baada ya kuhukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi
- Beni: Uhaba wa mafuta ya gari, matokeo na ongezeko la bei kwa lita
- Bukavu: Uhaba wa mafuta ya gari mjini
- Kananga: Hali ya mporomoko wa udongo huko Kamayi
- Bandundu: Baraza la wakulima lasikitikia hali ya barabara za jimbo hilo./sites/default/files/2025-01/210125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3








