Journal Soir

Habari za jioni 26 Juni, 2025

  • Kinshasa : Rais wa Jamuhuri Félix Tshisekedi alikutana hii Siku ya tatu n'a mwezeshaji wa EAC n'a SADEC Olusegun Obasanjo mjini Kinshasa. Walizungumzia hali ya usalama inchini Kongo
  • Lubumbashi : Huko Haut Katanga, watoto wenye umri wa miezi mitatu hadi makumi tano na tisa watapewa chanjo dhidi ya maleria hivi karibuni. Tangazo hilo lilitolewa hii Siku ya tatu na wajumbe kutoka Wizara ya Afya wanaotembelea mji wa Lubumbashi
  • Beni : Jimboni Kivu Kaskazini, Kituo cha Kimataifa cha Haki za Binadamu na Mafunzo ya Maendeleo (CIFDH), kinashutumu kulipizwa kwa ada za kuwatembelea wafungwa katika gereza la Kakwangura mjini Butembo./sites/default/files/2025-06/260625-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3