journal soir

Habari zetu za jumanne tarehe 29 julay 2025.

  • Kuimarisha umoja na usalama wa kijamii kati ya makabila ya wahema na walendu , ndiyo lengo la mkutano mkubwa ulioendeshwa pale ukikusanyisha viongozi wa kabila hizo pale Djugu.
  • Kivu ya kusini: wakandideti 27 hawakuweza kufanya mitihani wa serkali kwenye senta ya Mubumbano huko Walungu. Sababu ni vita vinavyo endeshwa mashariki mwa nchi na waasi wa M23, haswa katika eneo la Walungu,
  • habari njema kwa wakazi wa kata fulani pale Mbuji-Mayi. Maji ya kunywa yamekuwa yakitiririka mfululizo kutoka kwenye mabomba ya kaya kadhaa. Juhudi hii liliwezeshwa kwa msaada wa Benki ya Maendeleo ya Afrika na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani.

/sites/default/files/2025-07/29072025-journalswahilisoir-00web.mp3