journal soir

Habari zetu za Jumatano tarehe 1 octoba 2025.

  • Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege anashutumu kuendelea kutoadhibiwa kwa uhalifu mkubwa unaofanywa nchini DRC na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za haki za mpito ili kuhakikisha ukweli, fidia, na kutojirudia.
  • Mvutano mkubwa ulionekana Jumatano hii katika wilaya Kalambayi pale Ngandajika, sababu ni mzozo kati ya wanafunzi na walimu wa shule mbili za segondari: taasisi za Mpuilayi na Kaya.
  • Mainspecta wa wafanyikazi wa Kivu Kaskazini wako katika hali mbaya huko Kisangani. Wamekuwa mjini humo kwa zaidi ya mwezi mmoja, wakitafuta mishahara yao ambayo hawajalipwa tangu miezi mitatu, hawa wame vunjika moyo huko Kisangani.

/sites/default/files/2025-10/011025-p-s-journalswahilisoir-00web.mp3