Journal soir

Habari za leo siku ya inayi , 120226

HABARI KWA KIFUPI

  • GOMA : Helikopta ya kwanza ya MONUSCO imeshuka kwenye uwanja wa ndenge wa Goma , Siku ya inne hiii , baaada ya Ku fugwa Ku uwanja wa ndenge huo , tangu mwaka mmoja , kutokana na vita.
  • LUBUMBASHI: Gavana wa muda wa Haut-Katanga, alifanya mkutano na waandishi wa habari, Siku ya tatu iliopita , wakati wa mkusanyiko wa Mining INDABA , inayofanyika Cape Town, mjini Afrika Kusini.
  •  Matadi , watoto wanafunzi wa Institut Espérance , ambao hawasikiye , wali faïdiwa Siku ya tatu hiii iliopita, na kikao cha uhamasi shaji, kilicho andaliwa na Collectif Citoyen Actif (CCA) kwa kifupi.
  • /sites/default/files/2026-02/120226-p-s-journalswahilisoir-web.mp3