Journal soir

Habari za kiswahili za siku ya Kwanza tarehe 160226

  • Ukumbi wa mji mkuu Kinshasa uta weka mipaka kwenye nafasi , Ambapo Nyumba, ambazo zilizo jengwa ki nyume na sheria, zitabomolewa
  • .Jimboni Ituri, kikao cha wabunge wa jimbo,  kilianza mfululizo wa mashauriano, na makundi mbalimbali ya wakaaji ,Siku ya kwanza hii mjini  Bunia.
  • .Katika muji wa Muanda, jimbo la Kongo- central ,maïti makumi tatu ya masikini,  Zili zikwa mwsiho wa juma hii ,  kutokana na opereshen ya Ku tosha maïti zote za wa maskini, Katika tchumba tcha maïti ,  iliyo anzishwa na Hospital Kuu ya Muanda .
  • /sites/default/files/2026-02/16022026-journal_swahili_lundi_soir-web.mp3