Habari ya lelo siku ya pili , 030326
- ukwaa la Kitaifa linalo husiana na Masuala ya Kimila , lilianzishwa Siku ya kwanza iliyopita mjini Kinshasa, na Rais wa Jamhuri , Félix Antoine TSHISEKEDI.
- .Katika Jimbo la Ituri, kumepita miaka miwili na myezi sita , bila kesi hâta moja ya jinai, kutekelezwa katika Mahakama, ya Mambasa, kutokana na ukosefu wa majaji katika mamlaka hii.
- .Kivu Kaskazini, Kituo cha msaada na matunzo , wa Kisaikolojia na Kijamii cha Musimba, kilicho kati ya mji wa Butembo na eneo la Lubero, kina pokeya wagonjwa zahidi na zahidi kwa wakati huu.
- /sites/default/files/2026-03/030326-journalswahili-mardisoir_web.mp3








