Journal Swahili

Habari za kiswahili za tarehe 180226

  • Waziri wa Congo , anaye husika na mambo ya feza Doudou FWamba , ame wahakikishia wananchi kuwa,  shughuli za malipo ya mishahara zita kamilika kwa Siku tatu zijazo .
  • Katika Jimbo la Kwilu , Watu wanane, kati yao  meya wa wilaya ya Panu,  wali hukumiwa kifo, Siku ya kwanza hiii tarehe kumi na sita ya mwezi huu wa pili ,  na Mahakama ya Kijeshi ya Kikwit, ambayo ina mamlaka , ya majimbo ya Kwilu, Kwango, na Maï Ndombe.
  • Hatua kubwa imepigwa , katika vita zidi ya malaria jimboni  Kasai Oriental. Jimbo hili , lime ongeza rasmi,  chanjo mupya ya malaria,  kwenye ratiba yake ya kawaida 
  • /sites/default/files/2026-02/17022026-p-s-journalswahilisoir-web.mp3