Journal Swahili

Habari za asubuhi za tarehe 190226

  • Baada ya  kuachiwa kwa wafungwa  mia moja na makumi mbili na moja kutoka gereza la Makala, opereshen  hii itaendelea . Na hai husiani na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao, unatawala katika kituo hicho.
  • Tarehe kumi na nane ,ya mwezi huu pili , Mwaka tulimo , Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaadhimisha miaka makumi mbili  tangu kuanzishwa kwake.
  • Katika Jimbo la Kivu Kaskazini, mashirika karibu  kumi , ya kuwalinda watoto , yana toa wito kwa pande zote , zinazopigania,  kusitisha kuajiri watoto.
  • /sites/default/files/2026-02/19022026-p-s-journal-jeudimatin-web.mp3