Habari za asubuhi, siku ya ine 260326
- Waziri wa Masuala ya Kijamii, Hatua za Kibinadamu, na Mshikamano wa Kitaifa Eve Bazaiba , anashiriki Siku Ya tatu hii, katika kikao cha Kamati ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, kinacho fanyika mjini Geneva.
- Jimboni Ituri, hali ya afya , inazidi kuwa mbaya, Baada ya mashambulizi ya hivi majuzi , ya ADF, katika eneo la Mambasa.
- Polisi wa Kitaifa wa Kongo , jimboni Kasai-Central , wame choma kwa moto , kiasi kikubwa kya bangi , mjini Kananga.
- /sites/default/files/2026-03/26032026-p-f-journal_swahili-jeudimatin-web.mp3






