Journal swahili de lundi soir, 130426

Habari za mangaribi, siku ya kwanza 130426

  • OCHA, ina ripoti kuwa , Katika Jamhuri Ya kidemocratia Ya Kongo , Jimbo la Kivu kusini, Lina idadi kubwa zahidi , Ya Wa kimbizi Wa ndani. 
  • Kundi la manaibu wa majimbo injini KONGO ,  linasikitishwa na kuto tekelezwa kwa  maagizo ya Rais wa Jamhuri,  kuhusu malipo ,  ya mishahara yao.
  • Jimboni Kasai Oriental, miili sita eliyo wekwa   katika chumba cha kuhifadhi maiti, cha Hospital ya Notre-Dame de l'Espérance, zime achiliwa tangu zaïdi Ya Mwaka Mmoja.
  • /sites/default/files/2026-04/130426-journalswahili-lundisoir00_web.mp3