Journal swahili de mardi soir, 240326

Habari za mangaribi , siku ya pili 240326

  • Raïs Wa jamhuri Ya kidemocratia Ya Congo Félix Antoine TSHISEKEDI, amefika Katika muji Wa Bandundu , Siku Ya ta pili hiii , ili Ku anzisha Kongamano la kumi na tatu, la ma Gavana. 
  • Beyi Ya bizaaa za viwandani, ime ongezeka Katika soko za muji Wa Goma, tangu Siku chache. 
  • Kazi ya Ku tengeneza Barabara ya Kabambare, kutoka mkutano ya Wangata hadi Bokasa  katika manispaa ya Kinshasa, inaendelea vizuri , kulingana na wakaaaji Wa manispaa hii.
  • /sites/default/files/2026-03/24032026-p-f-journal_swahili-mardisoir-web.mp3