Habari za asubuhi, siku ya tatu 2503526
- Raïs Wa jamhuri Ya kidemocratia Ya Congo Félix Antoine TSHISEKEDI, amefika Katika muji Wa Bandundu , Siku Ya ta pili hiii , ili Ku anzisha Kongamano la kumi na tatu, la ma Gavana.
- Beyi Ya bizaaa za viwandani, ime ongezeka Katika soko za muji Wa Goma, tangu Siku chache.
- Kazi ya Ku tengeneza Barabara ya Kabambare, kutoka mkutano ya Wangata hadi Bokasa katika manispaa ya Kinshasa, inaendelea vizuri , kulingana na wakaaaji Wa manispaa hii.
- /sites/default/files/2026-03/25032026-p-f-journal_swahili-mercredimatin-web.mp3






