Journal Swahili du Mardi 240226

Habari za mangaribi siku ya pili tarehe 240226

  • Jimboni Kivu  Kaskazini, mapigano kati ya waasi wa AFC-M23 na muungano wa Wazalendo,  yana endelea siku ya pili hii ,  katika maeneo kadhaa katika sehemu ya kusini , ya eneo la Masisi.
  • Katika jimbo la Tshopo, muji wa Kisangani ,  bei za mahitaji ya msingi zimepanda sana  sokoni ,kutokana na ukosefu wa bizaa fulani , na  kushuka kwa kiwango,  cha ubadilishaji wa dola za Marekani
  • Kitengo cha Miundombinu cha Wizara ya Miundombinu na Kazi za Umma,  kime kabizi rasmi  magari ,  kwa huduma nane za kiufundi,  huko Kasai-Central,  Siku ya kwanza hii iliopita .
  • /sites/default/files/2026-02/240226-journalswahili-mardisoir-web.mp3