Kinshasa: Raïs wa Jamhuri yakidemocratia ya Congo, hutoa hotuba kwa taifa kuhusu mazungumzo ya kitaifa.
Jimboni Ituri, mashirika za kiraia na wazazi wamoja, mjini Bunia, wanazitaka mamlaka za elimu kuimarisha maandalizi ya kiafya kabla mwaka mpya wa masomo 2026-2027.
Kananga: vijana wengi, jimboni Kasai, wachagua kujihusisha na kazi za mikono. Walionesha miradi yao mbali mbali kwa Festival Sankayi iliyofanyika juma iliyiopita.
/sites/default/files/2026-08/18082026-journal_swahili_mardi-matin-00.mp3





