Mtaani Mambasa, jimboni Ituri, ma elfu ya wahami waishi bila msaada waliko kimbilia. Hayo ikiwa ni kinyume ya mashambulizi ya mara kwa mara ya waasi wa ADF.
Mjini Butembo, Kivu Kaskazini, juhudi za kupambana na Ebola zazidi kukabiliana na upinzani na hata mashambulizi zidi ya vituo na wahudumu wa afya. Shirika REDHO laomba kufunguliwe uchunguzi wa kisheria.
Huko Kwilu, watumishi kwa mda takriban 140 wa shirika la umeme SNEL wadokeza kasirani mjini Bandundu. Kihisha kutumika zaidi ya myaka 20 bila kusajiliwa, waomba kupewa ajira rasmi.
/sites/default/files/2026-08/120826-sw-journal-complet-mercredi-soir-00.mp3






