Habari za asubuhi, siku ya tano 200326
- Jimboni Ituri, makumi ya Wa safiri , waliokuwa kwenye boti , walizama Siku ya tatu hiii iliyopita kwenye Ziwa Albert, karibu na kijiji cha Kamutasi, katika eneo la Djugu.
- Mjini Kinshasa , Madèreva wamoja wame anza Ku rudiliya kazi polepole , baaada Ya Mazungumzo kati ya viongozi va chama cha Ma dereva Wa Congo ACCO , na , serikali ya Jimbo .
- Katika jimbo la Haut-Lomami, tangu Siku nyingi , trafiki imetatizwa , kwenye Barabara Kuu ya Kitaifa kwanza , katika eneo la Kamboya.
- /sites/default/files/2026-03/20032026-p-s-journalswahili-vendredimatin-web.mp3






