Journal Soir

Habari za siku ya pili jioni 

  • Serikali imechukua chaguo la kujenga magereza mapya ili kupunguza msongamano na hali mbaya ya magereza.
  • Huko Ituri, zaidi ya wafungwa makumi mbili na watano wamefariki katika gereza kuu la Bunia katika muda wa miezi miwili iliyopita.
  • Kuna mvurugiko katika chama cha urais cha Udps ambapo Victor Wakwenda, mkuu  wa Chama cha Convention démocratique du parti (CDP) aliachiliwa huru kwa muda baada ya kufika katika ukumbi wa baraza mbele ya Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu karibu na Mahakama ya Rufaa ya Kinshasa-Matete katika gereza kuu la Makala siku ya pili hii makumi mbili na mbili  Novemba.
  • Wakikimbia vita, jamaa za wakimbizi zilikaa katika maeneo tupu katika tabaka Kibati katika tarafa la Nyiragongo.
  • Katika mji wa Bandundu, mji mkuu wa jimbo la Kwilu, washambuliaji kadhaa wenye silaha waliokamatwa katika tarafa la Bagata walionyeshwa siku ya kwanza na polisi wa kitaifa wa Kongo kwa gavana wa mkoa, Willy Itshundala Assang.
  • Katika Kivu Kusini, watu kumi wamekufa na uharibifu mwingine mwingi wa vitu.
  •  
  • kwa awamu mbili za mwisho za kampeni ya uimarishaji ya mara kwa mara ya chanjo za utaratibu, IPVS katika eneo hili.
  • Katika jimbo la Lomami, imewasili hii siku ya kwanza  kwa mara ya kwanza kabisa pa Mwene-Ditu, basi kutoka kampuni ya usafiri ya Congo Transco./sites/default/files/2022-11/221122-p-s-journalswahilisoir-00_web_.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner