Journal swahili midi

  • Bunia:kazi ya mahusiano kati ya serkali na waasi wa FRPI
  • Bunia :Hali ni mbovu katika eneo ilo sababu ya  vitendo mbaya ya wasi ya FRPI 
  • Kisangani:kikako cha Lucha kuhusu hali ya kisiasainchini humu
  • Lubumbashi, shirika kwa jina la compagnons d'emmanuel Shadari ina alika vijana wajichukulie kazi ya uchaguzi
  • Kinshasa :kengo wa Dondo kuhusu kazi ya uchaguzi
  • Kinshasa:Mjibu ya Ensemble kwa masemi ya Kengo waDondo
  • Kinshasa:muungano ya makanisa lina sii ajili ya uchaguzi kushirikisha wote
  • Kinshasa :zaidi ya milioni mia tano za Euro msaada ya watu wote kutoka kwenye umoja ya ulaya tangu mwaka wa elfu mbili na kumi na nee.
  • Matadi:wasaidizi ya wafanya byashara mipakani mwa  jimbo la Kongo centrale wana omba ipunguzwe makodi.
    /sites/default/files/2018-08/22082018-a-s-journalswahilimidi-00.mp3