Journal swahili soir

  • Lubumbashi:kufika kwa Martin Fayulu Madidi mgombea kiti cha uraisi mjini Lubumbashi katika jimbo la Haut Katanga
  • Kinshasa:Kufika kwa wagombea kiti cha uraisi wengine Emmanuel Ramazani Shadari na Felix Tshisekedi
  • Kananga:kamanda ya polis jimboni anankumbusha wa polisi shuguli ya kazi yao
  • Beni:Shambulizi mpya la watu wa silhaa pa Oicha ,watu kumi waliuawa
  • Kinshasa:Mganga Denis Mukwege ana towa maoni yake kuhusu madini kutoka jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo 
  • Kinshasa:kufwatilia kisaikologya kwa watoto wagonjwa na Unicef./sites/default/files/2018-12/11122018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3