Journal swahili soir

  • Beni:Shambulizi la kituo cha matibabu kwa Ebola pa Butembo na watu wakumiliki silhaa katika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Muito ya waziri wa afya Oly Ilunga  kwa wanao shambulia  timu za kupiganisha ugonjwa wa Ebola jimboni  Nord Kivu
  • Kananga:Masambo  kuhusu kuawa kwa watalhamu wawili wa umoja wa mataifaa leo mjini Kananga  katika jimbo la Kasai central
  • Goma:Mjibu ya jeshi la taifaa kuhusu ujiwo  ya wapiganaji wazamani wa M23
  • Kisangani:hali ya maisha ya wahami wa vita wa kijiji Lowa katika mtaa wa Ubundu jimboni la Tshopo
  • Kinshasa:Neno mhimu ya shirika la umoja wa mataifaa yausika na malisho na kilimo mwaka huu wa elfu mbili na kumi na kenda./sites/default/files/2019-02/28022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3