Journal Swahili Soir

  • Lumbumbashi:watu ya pata kumi wamefariki kwa msiba wa gari jimboni Lualaba katika eneo la Kolwezi 
  • Bunia:mapambano kati ya jeshi la taifaa na wasi imesababisha kifo cha watu watatu katika jimbo la Ituri
  • Kalemie:watu watatu walietoroka gerezani kuu la kalemie wameshikwa na kazi za ulinzi pa pweto katika jimbo la Tanganyika
  • Lubumbashi:Shirika la mahali Swae lina shutumu waskari jeshi walinzi wa kiwanda cha madini TFM
  • Bukavu:hali ya kiutu na mbovu kwa wahami wa vita ya pale mtaa wa Kalehe katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:kuna tambulikana uwizi wa kartasi za mitiani ya serkali ya sciensa ya afya inchni./sites/default/files/2019-06/19062019-a-s-journalswahilisoir17h00-00_.mp3