Journal Swahili Soir

Kinshasa:kiongozi ya baraza la jimbo la Kongo central ameaanda kikao siokawaida

Kinshasa:maandamano ya wakaji wa Matadi kudai kujiuuzulu kwa Liwali wa jimbo la Kongo Central

Kinshasa:Hotuba ya jean Claude Nyamugabo mjni NewYork waziri wa mazingira na maendeleo endelevu  kuhusu mazingira

Bukavu:kusimamishwa kwa mkuu wa mgawanyiko na cadastre iliyousika katika usambazaji wa wiwanja kwenye tovuti zisizofaa

Bunia:huduma ya afya ya bure katika maeneo kumi na sita ya afya huko Mambassa katika jimbo la Ituri

Goma:watu kumi na tano waliotekwa nyara pamoja na saba waliyotolewa huko Lubero na vikosi vya wenye silha./sites/default/files/2019-09/23092019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3