Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Hotuba ya kwanza ya raissiFelix Antoine Tshisekedi  mbele ya mkutano ya bunge ya taifaa na wazee wa bunge
  • Bunia:Chakula iemkosekana katika gereza kuu la Bunia humo jimbo la Ituri
  • Bukavu:Mporomoko ya ardhi imesababisha kufariki kwa watu kenda mjini Bukavu humo jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:daraja la pale barabara Flambeau ni lenye kupatikana katika hatari 
  • Mbandaka:Wahanga wa mafuriko ya jito na mto wa Ubangi wana piga yowe humo jimbo la equateur 
  • Kinshasa:matokeo ya mafuriko wa maji katika maeneo zimoja  za mji mkuu huu
  • Kinshasa:Uchafu ina zidhi katika barabara bokassa humu mji wa Kinshasa./sites/default/files/2019-12/12122019-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3