Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Julien Paluku ana wapatia  wausika na deni za FPI muda wa ma saa makumi manne na mnane 
  • Bandundu:Kuondoshwa kwa vizuizu vyote katika barabra kuu za juimbo la Kwilu badaa ya jimbo la Kongo Central
  • Lubumbashi:Kufwatana na ujumbe wa ukabila kutambuliakana m,jini Lubumbashi , shirika la kiraia lina paza sauti wakaji wawe tulivu humo jimbo la haut Katanga 
  • Kalemie:Ziara ya waziri wa ulinzi katika eneo la Nyunzu humo jimbo la Tanganyika 
  • Kindu:Zaidi ya wahami wa ndani elfu moja kutoka Balanga wanaiishi katika shida pale Lokando katika jimbo la Maniema
  • Kananga:ubakaji wa watotot wanaume  wa sita mjini Kananga humo jimbo la Kasai Central./sites/default/files/2020-03/06032020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3