Journal Swahili Soir

  • Lubumbashi:Watu wasitembee kwa mda wa siku mbili jimboni Haut Katanga kwa kuepuka virusi vya Corona mwito ya Liwali wa jimbo
  • Bunia:Kufungwa kwa mipaka ya Uganda na Kongo ya kidemocrasia
  • Kinshasa:Mbunge André Lubaya ana dai hali ya dharura ya kiafya nchini Kongo ya kidemocrasia
  • Kinshasa:Maoni ya mtaalam wa kipsychiastri kuhusu swala la Corona virusi
  • Butembo:Kusikilizwa kwa wachuruzi wamoja wamoja kuhusu kuongezeka kwa bei ya byashara mjini Butembo humo jimbo la Nord Kivu
  • Kisangani:kuongezeka kwa bei ya byashara mjini Isiro 
  • Kinshasa:Hukumu ya waziri wa zamani wa afya Oly Ilunga 
  • Kinshasa:Hukumu ya waziri wa zamani wa mji jimbo la Kinshasa GuyMatondo./sites/default/files/2020-03/23032020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3

Dans la même catégorie