- Bunia:waasi kumi na tatu pamoja na jeshi wawili wa taifaa waliuawa wakati wamapigano ya huko Baiti katika jimbo la Ituri
- Beni:harakati za wakaji wa kusini mwa mtaa wa Lubero wakiofya maiisha yao humo jimbo la Nord Kivu
- Kinshasa:Kuzuka kwa surua katika jimbo la Kwango
- Kananga:kuongezeka kwa bei ya mahindi katika jimbo la kasai central
- MbujMay:kugunduliwa kwa ngunia za mahindi ndani yagala ya mji Mbuj May
- Kindu:Shirika la LJDH linalaani kupanda kwa bei ya tiket na kukosekana kwa ndege za Congo Air Ways jimboni Maniema./sites/default/files/2019-10/29102019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3