Jambo lenyi kuelekea Bundu Dia Kongo- solusheni gani ya kupata ili vitendo vya mauwaji vikomeshwe na amani irudishwe katika jimbo lile ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Guy-Marin BAGUMA, mwanamemba wa chama cha siasa UDPS na ni msimamizi wa upinzani.;rn-Pascal Joseph KAPOME, mwanabunge la taifa na pia mwanamemba wa kundi la wanabunge wa chama cha siasa PPRD na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa madarakani ;rn-Omer LUPEMA, mwanamemba washirika la rahiya.