Kupandishwa kwa beyi ya vyakula katika soko za mji wa Kinshasa, utekelezaji wa mkataba wa usalama na maendeleo uliosahiliwa Goma, na pia utekelezaji wa uongozo wa majimbo 26 kulingana na katiba ya inchi : hayo ndio maoni yaliyochaguliwa huru na walikwa

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Martin MUKONKOLE, mwanabunge la taifa pia mwanamemba wa kundi la wanabunge ODR na ni msimamizi wa upinzani ;rn-Jean-Luc MUTOKAMBALI, mwanabunge la taifa, pia mwanamemba wa kundi la wanabunge huru ;rn-Désiré KADANGE, mwanamemba wa shirika la watumiaji na ni msimamizi wa shirika la rahiya.