Wafanyakazi wa wilaya zote za ardhi za mkoa wa Kivu Kusini wameamua kusimamisha kazi tangu siku ya ine hii huko Bukavu. Wanasema wamekatishwa tamaa na kulipwa kwa wafanyakazi wa uongo na wizara inayosimamia, badala ya wale wanaofanya kazi kweli. Katibu wa ujumbe wa muungano wa masuala ya ardhi Mapendo Bahaya Luc anaelezea hali hiyo akijibu kwa maswali ya Jean Kasami.
/sites/default/files/2022-10/invite_sw_mapendo_bahaya_luc_web.mp3