Mgeni wetu ni msimamizi wa tarafa la Fizi, (jimboni Kivu Kusini), Samy Kalonji Badibanga. Tulimhoji wakati wa ziara ya serikali kuu mjini Kasaba, mara baada ya maafa yaliyosababisha vifo vya zaidi ya 100. Tunamsikiliza katika mahojiano haya aliyokuwa nayo na Redio Okapi.
/sites/default/files/2025-06/230625-p-s-invitebukavusamybadibangaatfizi-00-web.mp3