Mgeni wa leo ni Bi Esther Bulnza Habamungu. Yeye ni mmoja wa wanawake wachache walioteuliwa kama wasemaji wa wanafunzi wa chuo kikuu katika jimbo la Kivu Kusini. Wanafunzi wenzake katika Institut Supérieur de Management (ISM) walimchagua mwanamke huyu mwenye umri wa miaka arobaini. Anatueleza kuhusu jukumu atakalotekeleza kama msemaji, aliyeapishwa rasmi Jumamosi, 15 Juni, 2025, mjini Bukavu. Anazungumza na Redio Okapi.
/sites/default/files/2025-06/270625-p-s-invitebukavuestherbulnzahabamunguismbukavu-00-web.mp3