Gisele Kantu: CICR ina wasaidia wahanga wa vita wanao hitaji viungo bandia jimboni Kivu Kaskazini.

Inchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, shirika la kimataifa la msalaba mwekundi, CICR lawahudumia karibu watu elfu 4 kila mwaka kupitia mpango wake wa ukarabati wa kimwili. Baadhi ya hawa wapatikana jimboni Kivu Kaskazini, ambapo 80% ya walengwa ni waathiriwa wa migogoro ya kivita. Msaada huu wahusu kuwavalisha viungo bandia na mifupa, pamoja na kutengeneza na kufatilia vifaa hivi.  Ili kuelewa zaidi  kuhusu swala hili, tuna mpokea kama mwalikwa, Gisele Kantu, msaidizi wa programu hiyo Kivu Kaskazini. Anazungumza na Rosalie Zawadi.

/sites/default/files/2026-07/15072026_-_goma_invite_sw_-_gisele_kantu_cicr_prp.mp3