
Mwalikwa wetu leo ni Aline Kahindo. Alikimbia mapigano katika kijiji chake kilichoko kusini mwa mtaa wa Lubero ili kutafuta hifadhi mjini Goma mnamo mwaka wa 2011. Alipowasili, maisha yake ya kila siku kama mtu aliyeyahama makazi yake yalikuwa ya taabu kubwa. Baada ya miaka ya mateso, hatimaye maisha yake yalianza kubadilika kutokana na msaada wa shirika la wanawake "Femmes du Soleil." Hata hivyo, mapigano ya Januari 2025 mjini Goma yalimrudisha katika hali ya sintofahamu na hatari kubwa. Leo hii, anatoa wito kwa viongozi wote wanaojishughulisha na jitihada za amani kuongeza maradufu juhudi zao ili kurejesha amani. Katika mahojiano haya na Rosalie Zawadi, Aline Kahindo anafasiria maisha yake kamu muhami.
/sites/default/files/2026-07/12072026_-_goma_invite_sw_-_aline_kahindo_femmes_du_soleil.mp3








