Tambwe Radjabo Bernard : Tulikuta Watoto wadogo ndio wanauza maji

Mgeni wetu ni mratibu wa ofisi ya uwasilishaji wa shirika lisilo la kiserikali la CARS Maniema, mfumo wa usaidizi wa kutafuta suluhu. Meneja wa mradi Tambwe Radjabo Bernard anajadili programu hii, ambayo inatoa vifaa vya shughuli za kuzalisha kipato kwa watoto wadogo kutoka familia maskini ili kuwapeleka watoto wao shule. Bwana Tambwe Radjabo Bernard anazungumza na Florence Kiza Lunga.

/sites/default/files/2025-06/100625-p-s-invitekindutambweradjabobernardcarsmaniema-00-web.mp3