Daktari OLIVE AMBAMBULA toka jimbo la Maniema

Kama unavyojua, mwezi wa Oktoba ulitolewa kwa kampeni ya kila mwaka ya uhamasishaji, kuzuia na uchunguzi wa cancer ya matiti. Madaktari hawa wa kike wanahimiza na kuchunguza wanawake elfu moja katika mitaa ya afya ya Alunguli na Kailo jimboni Maniema. Bila uungwaji mkono wao, chama cha madaktari wanawake kinaomba msaada kwa wagonjwa wanapatikana kuwa na cancer. Kuhusu suala hilo, fuateni  daktari OLIVE AMBAMBULA, daktari wa magonjwa ya wanawake na msimamizi wa chama cha madaktari wanawake wanaofanya kazi Maniema  katika mahojiano haya na Florence KIZA LUNGA ./sites/default/files/2022-11/04112022-p-s-invitedrolivaambambulakindu-00_web.mp3