Mpatanishi wa mchakato wa Nairobi kuhusu amani mashariki mwa inchi ya Kongo aliwasili mjini Kinshasa siku ya mungu na alizungumza na Rais wa Kongo, lakini pia na mkuu wa Monusco kwa ajili ya kuleta amani katika eneo hilo. Tumsikilize akajibu kwa masuali ya Grace Amzati /sites/default/files/2022-11/141122-p-s-kininviteuhurukenyatta-00_web_.mp3