Rebecca Lukusa wa offisi ya FIDA

Mwalikwa wetu wa leo ni Bi REBECCA LUKUSA, afisa  uchambuzi  kutoka  ofisi ya kimataifa kwajili ya maendeleo ya kilimo FIDA  inchini Kongo ya Kidemokratia na inchini Kongo jirani . Anatueleza kuhusu misheni hii ya pamoja ya serikali na FIDA  iliyoandaliwa katika mtaa wa Kailo jimboni Maniema . Anajibu kwa masuali ya  Florence KIZA LUNGA/sites/default/files/2022-11/inviteeswahilirebeccafida_web.mp3