Daktari Gertrude Tambavira kutoka mjini Butembo

Mwalikwa wetu wa leo ni Daktari Gertrude Tambavira, daktari anayetibu kisukari katika kituo cha hospitali ya FEPSI mjini  Butembo. Anatuambia kuhusu hatua ya  kuzuia ugonjwa wa kisukari. Alisema haya siku ya kwanza iliyopita wakati wa sherehe ya siku kuu ulimwenguni kupinaisha ugondjwa  wa Kisukari. Daktari Gertrude Tambavira anazungumza na Grevisse Salumu/sites/default/files/2022-11/inviteeswahilidrgertrude_web.mp3