Jean Paul Kapitula toka mjini Beni

Mkuu wa huduma ya ulinzi wa raia huko Beni jimboni Kivu kaskazini Jean Paul Kapitula anazungumza kuhusu hali ngumu ya familia zisizopungua elfu moja mia tano zinazoishi pa Beni ambazo zilikimbia mashambulizi ya hivi punde ya ADF katika kijiji cha Kabasha na kandokando. Anaomba tathmini ya haraka ya mahitaji ya wakimbizi hawa ifanyike kwa ajili ya msaada wao. Anazungumza na Martial Papy Mukeba.  /sites/default/files/2022-11/221122-p-s-invitejean-paulkapitulaprotecioncivilebeni-00_web.mp3