Major Alfred Mwabili : Vikosi vya Monusco vilizuia uvamizi wa wanamgambo wa CODECO

Mgeni wetu ni msemaji wa jeshi la MONUSCO. Meja Alfred Mwabili anazungumzia hatua mbalimbali za Jeshi la Umoja wa Mataifa katika maisha ya kila siku ya raia wa Kongo Mashariki, hasa katika sekta ya huduma za afya. Lakini pia kuhusu maandalizi ya kuondoka kwa MONUSCO inchihi Kongo. Meja Alfred Mwabili akiongea na Jules NGALA WAMONA.

/sites/default/files/2024-04/160424-p-s-invitegomamajalfredmwabili-00-web.mp3