Mwami Alphonse Bin Kitobi : Hakuna nafasi ya kupata dawa, wamama wanazaa ndani ya njia

Katika tarafa la Beni, kijiji cha Bapakombe-Bakondo, kinacho angalau wakazi elfu makumi mbili hakina maji ya kunywa, hakina shule, na hata kituo cha afya kidogo. Mbali na hayo, ukaribu wake na mbuga la wanyama la Virunga ni changamoto kwa wakazi wake, ambao hawajui jinsi ya kufanya shughuli zao za mashambani kwa amani. Kiongozi wa kimila wa Bapakombe-Bakondo ambaye ni mgeni wetu leo, anaomba miradi ya maendeleo kwa eneo lake. Anazungumza kwa Kiswahili na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2024-04/120424-p-s-beniinvitealphonsebinkitobi-00-web.mp3