Daktari Johnson Katirisa kutoka mjini Butembo

Daktari Johnson Katirisa, mwanachama wa Société Congolaise de Gynécologie et d’Obstétrique, SCOGO, seli ya Butembo. Hawa ni madaktari ambao wanatunza magonjwa ya uzazi wa wanawake.  Anatuambia kuhusu ushiriki wa muundo huu katika mapambano na kuzuia cancer ya kizazi. Ili kufanikisha hili, SCOGO iliandaa siku ya Jumapili iliyopita huko Butembo, siku inayoitwa siku ya matibabu, kwa madaktari mia moja kutoka sehemu ya kaskazini ya jimbo la Kivu Kaskazini. Daktari Johnson Katirisa anazungumzia suala hili na Grevisse Salumu /sites/default/files/2022-11/241122-p-s-invitedrjohnsonkatirisascogo_butembo_web_.mp3