adre Jean-Baptiste Kambale Migheri kutoka mjini Beni

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Université Avenir du Congo huko Beni jimboni Kivu kaskazini  anazungumza  juu ya toleo la kwanza la Tamasha la Utamaduni wa Kielimu lililoandaliwa na chuo kikuu chake kama sehemu ya kuwatambulisha vijana kuchukua changamoto za kitamaduni na kielimu lakini zaidi ya yote, ushiriki wao katika ujenzi wa amani. Padre Jean-Baptiste Kambale Migheri akizungumza na Marc Maro Fimbo /sites/default/files/2022-11/01122022-p-s-invitepretrejeanbaptistemigherirecteuruacbeni-00_web.mp3