Daktari Joseph Matundanya toka jimbo la Kivu ya Kusini

Kulizinduliwa siku ya kwanza tarehe makumi mbili na nane Novemba huko Bukavu kampeni ya chanjo ya kuzuia ugonjwa wa fievre jaune, huu unatokana na kuumwa na mbu. Ni mitaa ya afya tatu tu ya mjini ya Bukavu ambayo inahusika kwanza. Lakini lengo ni kuwachanja watu wote kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka makumi sita  katika mitaa ya afya makumi tatu na ine ya Kivu Kusini. Fievre jaune ni nini? Je, kampeni hii ya chanjo itafanyika vipi? Daktari Joseph Matundanya, mratibu wa mkoa wa programu iliyoongezwa ya chanjo, PEV katika Kivu Kusini, anatoa maelezo yote katika mahojiano haya na Jean Kasami/sites/default/files/2022-12/021222-p-s-invitedrjoseph_matundanyapev_sud-kivu-00_web.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner