Uhuru Kenyatta, mpatanishi wa EAC kwa ajili ya amani mashariki mwa Kongo

Mwezeshaji wa EAC wa mchakato wa amani mashariki mwa DRC,  Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta anazungumza kuhusu mazungumzo yake hii siku ya tatu Jumatano na wajumbe mbalimbali wa makundi yenye silaha kutoka Kivu Kaskazini, Kivu Kusini, Maniema, Ituri na Tanganyika. Anatangaza kwamba wote wamesema wako tayari kuweka chini silaha zao lakini kwa kusema nini kifanyike kwa amani ya kudumu. Uhuru Kenyatta azungumza na Martial Papy Mukeba /sites/default/files/2022-12/301122_-_invite_-_swahili_-_uhuru_kenyatta_web.mp3