Meneja mkuu wa chama cha ushirika cha BBLO KAWA ambacho kinamaanisha kahawa bora zaidi, kilicho Kpandroma katika tarafa la Djugu. Atatueleza kuhusu uzalishaji wa kahawa kwa msimu katika kampuni yake, matatizo pamoja na miradi ijayo. Bwana Augustin Ngabu Basani anazungumza na Marc Maro Fimbo/sites/default/files/2022-12/19122022_-p-s-bunia-inviteaugustinngabubblokawadjugu-00_web.mp3