Justin Siako, fundi wa miguu bandia kwa ajili ya walemavu katika mji wa Bunia

Justin Siako, fundi wa miguu bandia kwa ajili ya walemavu  katika jiji la Bunia, mji mkuu wa jimbo la Ituri. Akiwa mwathirika wa ulemavu kutokana na ugonjwa wa polio, amekuwa akitengeneza viungo bandia vya chuma kwa walemavu tangu zaidi ya miaka kumi na tano sasa. Wakati wa kusherekea Siku ya Watu Wanaoishi na Ulemavu Duniani inayoadhimishwa tarehe tatu Desemba  ya kila mwaka, anatueleza kuhusu kazi hii ambayo haijajulikana sana na umma na changamoto zinazoikabili. Justin Siako ndiye mgeni wetu, anazungumza na Ezechiel MUZALIA. /sites/default/files/2022-12/09122022-p-s-invitejutsinsiakoorthoprotesistebunia-00_.mp3