Daktari Claude Kasereka Masumbuko mwalimu kwenye chuo kikuu cha kikatoliki Graben, UCG Butembo

Daktari Claude Kasereka Masumbuko mwalimu kwenye Faculte de Medecine ya chuo kikuu cha kikatoliki Graben, UCG Butembo anateea ili watoto wenye kuwa na HYDROCEPHALIE watunzwe, kufwatana kuzarauliwa kwao ndani ya jamii. Utetezi huu unapatikana ndani ya kitabu cha kiganga kilichoonyeshwa hazarani mwezi wa desemba uliopita pa Butembo. Kichwa cha Kitabu hicho ni L’hydrocéphalie chez l’enfant a Butembo. Prise en charge, neurodéveloppement, connaissance des mères et perception par la communauté. Daktari Claude Kasereka Masumbuko anazungumza na Grevisse Salumu.  /sites/default/files/2023-01/091023-p-s-invitebutembodrclaudemasumbukosurhydrocephalie-00_web.mp3