Bofaka Bakambo John César, mkurugenzi wa operesheni katika tume ya kitaifa ya kudhibiti silaha

Timu kutoka Tume ya Kitaifa ya Kudhibiti Silaha Ndogo Ndogo na Silaha Nyepesi ilikuwa katika ziara  ya kazi mjini Bukavu. Ujumbe huo ulikutana na mkuu wa ofisi ya muda ya Monusco jimboni Kivu ya Kusini Sud-Kivu siku ya pili iliyopita . Mwalikwa wetu, Bofaka Bakambo John César, Mkurugenzi wa operesheni  Ndani ya Tume, anazungumza kuhusu ziara yao ya kazi jimboni Kivu ya Kusini na Mwenzatu Jean Kasami./sites/default/files/2023-04/invite_sw_commission_nationale_de_controle_darmes_web.mp3